Advertisement

MR. BENEFICIAL arudishwa BONGO na DStv: 'Natoa hela bure kwa wanunuaji wa ving'amuzi waliopungukiwa'

MR. BENEFICIAL arudishwa BONGO na DStv: 'Natoa hela bure kwa wanunuaji wa ving'amuzi waliopungukiwa' Miezi michache baada ya fanyika kwa tamasha kubwa la filamu Zanziba (ZIFF) DStv imetangaza kufungua chaneli
maalum (pop-up Channel) kwa muda wa siku mbili ili kuweza kuonyesha filamu mbalimbali zilizofanya vizuri katika
tamasha hilo
Filamu hizo ni kutoka katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania, Kenya, Afrika Kusini, Marekani, Iran,
Morocco, Nigeria, Cape Verde na Zimbabwe.

Chaneli hiyo itakuwa DStv 197 na itakuwa wazi kwa siku mbili Jumapili 29 Septemba na Jumatatu 30 Septemba
kuanzia saa 12 Jioni hadi saa 4:30 Usiku.

MR.,BENEFICIAL,arudishwa,BONGO,na,DStv:,hela,bure,kwa,wanunuaji,wa,ving'amuzi,waliopungukiwa',

Post a Comment

0 Comments